Mou anasema kwamba iwapo bale hatakuwa kwenye mipango ya real madrid basi yupo tayari kupigana vikumbo na makocha wenzie ili amsajili mchezaji huyo. Pia amesema moja wapi ya dalili kwamba Bale anahitajika real madrid ni kuwepo kwenye kikosi cha real madrid kesho.