lukaku anamuonea wivu matic sababu pogba kakaa na matic badala ya kukaa na yeye km ilivyokua hapo mwanzo, hahahahaaaaa hakika pogba ni rafiki wa kila mtu pale manutd na anajua kuiunganisha timu ndan na nje ya uwanja
Sent using
Jamii Forums mobile app