Jana nimeangalia marudia ya mechi kati ya Man United na Barcelona, nilichogundua Manchester wanahitaji kujaza nafasi hizi au wachezaji wa aina hii.
1- Beki namba 3 mwenyekasi maana Blind na Damian sio namba 3 hasilia.
2- Wapate mchezaji mwenye uwezo binafsi wakati timu imeshindwa kupenya ngome ya team pinzani mfano kwa sasa wapate mchezaji kama 1- Neymar 2- Sanchez 3- Messi 4- Harzad au wachezaji wanafanana kama hao timu itakuwa ime balance sana.
Hayo ndio maoni yangu kwa nilivyangalia hiyo mechi.