Leo Bayern Munich wamemsajili Corentin Tolliso,Mourinho angejaribu kumsajili Renato Sanches ambaye tulimkosa msimu uliopita na alipigwa sana benchi na itakuwa ngumu kupata namba mbele ya Thiago,Vidal,Martinez,Tolliso.Umri wake ni mdogo,cheap na ana nguvu sidhani kama atapata taabu kuzoea EPL