Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Bellotti ataishia kama mwenzake aliyeenda kumrithi lewandosky pale Dortmund ciro Immobile sasa hivi ni wa kawaida tu karudi lazio.Alianza vizuri Torino kwa kasi kawa mfungaji bora kashindwa kuwika nje.Sikutegemea kama Kiko(macheda)angechezea serie B,Tulikuwa na game Cesena na Novara nikamuona jamaa ndiye striker wako naye kashuka sana japo ndiye aliyetufunga goli la ushindi.United kama watamchukua Perisic au brozovic wote wachezaji wa inter jamaa wapo vizuri kwa mfuatiliaji wa Serie A hata na yule wa Madrid amenunuliwa kwa hela nyingi lakini ni benchi la modric.hawa jamaa wa Croatia wana wachezaji viungo wazuri.
Ni zile doroo kwa vile hatufungi. No. 9 mwenye uwezo wa kufunga +20 ndiyo ushindi ulipo ninachukulia Ibra ataishiaIla mkuu huoni kama ni mapema sana kuraise expectations?
Kama Lukaku for £90 millBelloti wa kawaida sana....yani ni bora uchukue mchezaji wa pale pale Epl kuliko kugamble hela nyingi kwa huyo jamaa
Morata nasikia A.C Milan wamemchukua ila sina uhakika. Musimu huu strikers wengi kiwango kilishuka na midfielders walipaswa nao kufunga magoliMimi naona bora tubet kwa alvaro morata tu ila hata akija striker wa kiwango cha juu mou abadilishe na style zake za kutuweka presha muda wote wa game
Haaaa haaaa haaaa afu sijui kwanini Mou hatii Mkazo kwa Morata, ni rahisi kumpata Morata kuliko Griezman,ila sijajua msimamo wa Morata juu ya kuja Egland,tuna mahusiano mazuri na Real Madrid na inaonekana Zidane hana matumizi naye.Mimi naona bora tubet kwa alvaro morata tu ila hata akija striker wa kiwango cha juu mou abadilishe na style zake za kutuweka presha muda wote wa game
Lukaku ni Completely namba 9 lakini tuna shida kweli kweli na Stricker ila Lukaku awe chaguo la Mwisho,kama itashindikana kupata mchezaji mzuri pale mbele.Kama Lukaku for £90 mill
Lukaku hana mbio na kwa magoli ya vichwa siyo gwiji sana na hilo dau ndiyo kabisaaLukaku ni Completely namba 9 lakini tuna shida kweli kweli na Stricker ila Lukaku awe chaguo la Mwisho,kama itashindikana kupata mchezaji mzuri pale mbele.
Ila Mou ana uwezo wa kumbadilisha mchezaji hatuwezi juwa anaweza kuja kubadilika na akawa bonge la Mshambuliaji.
Fitness ya Lukaku ni nzuri tatizo ni katika kufanya maamuzi na utumiaji wa nafasi sahihi tatizo ambalo tunalo sasa kwa Ibrahamovic.
Kabisa yani watupe morata na varane plus ela ya juisi tuwape de gea hakuna matataHaaaa haaaa haaaa afu sijui kwanini Mou hatii Mkazo kwa Morata, ni rahisi kumpata Morata kuliko Griezman,ila sijajua msimamo wa Morata juu ya kuja Egland,tuna mahusiano mazuri na Real Madrid na inaonekana Zidane hana matumizi naye.
Naomba na kutamani sana Man U tumsajili Morata next season pale EPL patawaka.
Kabisa,na yule Varane ni zao la Mou so nadhani pia atatusaidia ZaidiKabisa yani watupe morata na varane plus ela ya juisi tuwape de gea hakuna matata
Morata ataka A.C Milan pili Real Madrid watamuunganisha na De Gea jambo ambalo Mourhnio hataki kusikiaHaaaa haaaa haaaa afu sijui kwanini Mou hatii Mkazo kwa Morata, ni rahisi kumpata Morata kuliko Griezman,ila sijajua msimamo wa Morata juu ya kuja Egland,tuna mahusiano mazuri na Real Madrid na inaonekana Zidane hana matumizi naye.
Naomba na kutamani sana Man U tumsajili Morata next season pale EPL patawaka.