Kipindi icho nilikuwa natambaa so about mpira sikujua nao naenjoy. Kwenu imebaki historia. Sisi current juzi tulimkodishia leceister city wameirudisha kwa mwenyewe. Rahaaa sana kubeba ndoo la epl.Hongereni kwa mafanikio yenu ya kuchukua kombe la sita, mafanikio ambayo Manchester ilisherehekea mwaka 1964 nyie ndio mnasherehekea leo.
'64 ulikua unatambaa? Shikamoo mzee[emoji1] [emoji1]Kipindi icho nilikuwa natambaa so about mpira sikujua nao naenjoy. Kwenu imebaki historia. Sisi current juzi tulimkodishia leceister city wameirudisha kwa mwenyewe. Rahaaa sana kubeba ndoo la epl.
Haaaaaaaaa. Nilidhani 1996........!!!!!xYz07.'64 ulikua unatambaa? Shikamoo mzee[emoji1] [emoji1]