Kwa hiyo Manutd ana uhakika wa nafasi ya sita lakini anaweza kimahesabu kufika nafasi ya tatu ili mradi Arsenal, Liverpool, Mancity wapoteze mechi zilizosalia

Manutd akifungwa leo nafasi ya sita itathibitishwa na top four itapotea kabisa kwa hiyo kuhenyea nafasi ya nne ushindi kwa Manutd ni muhimu kuliko kwa Spurs