Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,241 Manutd watinga fainali
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,242 Nusura wafunge lakini ndo hivyo
Newfame JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 485 Reaction score 1,134 May 12, 2017 #66,243 Aisee pressure ilikuwa juu sana baada ya red card ya Baily,any way hii Red card itatucost fainal,Rojo out,Baily out aisee. Phill Jones aanze kupasha.
Aisee pressure ilikuwa juu sana baada ya red card ya Baily,any way hii Red card itatucost fainal,Rojo out,Baily out aisee. Phill Jones aanze kupasha.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,244 full-time. MANUTD 2-1 CELTA DE VIGO
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,119 May 12, 2017 #66,245 Walah Man Utd msipobeba hili kombe mtatuumiza sana mashabiki.....GGMU
Newfame JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 485 Reaction score 1,134 May 12, 2017 #66,246 Good performance kwa Pogba,Herera,lakini leo niwe Mkweli Rashford katuangusha,Red card it worse kwetu
Good performance kwa Pogba,Herera,lakini leo niwe Mkweli Rashford katuangusha,Red card it worse kwetu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,247 Kuna bango ...Loud ... Proud
tameer JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 773 Reaction score 1,461 May 12, 2017 #66,248 PEP said: Mou alikua amekumbatiana na nani pale baada ya final whistle? Click to expand... Alikua anakumbatiana na mtoto wake,ni kipa wa timu ya watoto ya fulham
PEP said: Mou alikua amekumbatiana na nani pale baada ya final whistle? Click to expand... Alikua anakumbatiana na mtoto wake,ni kipa wa timu ya watoto ya fulham
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,249 Newfame said: Aisee pressure ilikuwa juu sana baada ya red card ya Baily,any way hii Red card itatucost fainal,Rojo out,Baily out aisee. Phill Jones aanze kupasha. Click to expand... Fainali bila Bailly ni advantage kubwa sana kwa Ajax Amsterdam
Newfame said: Aisee pressure ilikuwa juu sana baada ya red card ya Baily,any way hii Red card itatucost fainal,Rojo out,Baily out aisee. Phill Jones aanze kupasha. Click to expand... Fainali bila Bailly ni advantage kubwa sana kwa Ajax Amsterdam
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,250 Phil Jones sijui
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,490 May 12, 2017 #66,251 tameer said: Alikua anakumbatiana na mtoto wake,ni kipa wa timu ya watoto ya fulham Click to expand... Saasawa mkuu
tameer said: Alikua anakumbatiana na mtoto wake,ni kipa wa timu ya watoto ya fulham Click to expand... Saasawa mkuu
CHEKA UPIGWE JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 252 Reaction score 176 May 12, 2017 #66,252 Nawiwa kusema kuwa licha ya Man U kutinga mpaka finally. But safar yetu ilikuwa ni ya kimungu Mungu sana.
Nawiwa kusema kuwa licha ya Man U kutinga mpaka finally. But safar yetu ilikuwa ni ya kimungu Mungu sana.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,253 Tatizo la manutd wanaruhusu kushambuliwa mno na umaliziaji butu. Hili kombe kuwashinda Ajax ni kwa maombi
Tatizo la manutd wanaruhusu kushambuliwa mno na umaliziaji butu. Hili kombe kuwashinda Ajax ni kwa maombi
tameer JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 773 Reaction score 1,461 May 12, 2017 #66,254 Mentality ya mou ya ku defend inatu cost sana!mikhi ndo alikua anadrive mipira kupeleka mashambulizi ,alivotoka tu mbele kukafa
Mentality ya mou ya ku defend inatu cost sana!mikhi ndo alikua anadrive mipira kupeleka mashambulizi ,alivotoka tu mbele kukafa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,256 Leo yenyewe tumeelemewa mno. One on one na kipa Rashford ahitaji zoezi la nguvu hayo ni mabao kwa strikers wa saizi yake
Leo yenyewe tumeelemewa mno. One on one na kipa Rashford ahitaji zoezi la nguvu hayo ni mabao kwa strikers wa saizi yake
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,259 Habari njema ni Ajax kapigwa tatu moja. Ngome yao inafungika hilo litatusaidia sana
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 May 12, 2017 #66,260 tameer said: Mentality ya mou ya ku defend inatu cost sana!mikhi ndo alikua anadrive mipira kupeleka mashambulizi ,alivotoka tu mbele kukafa Click to expand... Akileta ndoo atasamehewa vinginevyo kiti moto atawekwa
tameer said: Mentality ya mou ya ku defend inatu cost sana!mikhi ndo alikua anadrive mipira kupeleka mashambulizi ,alivotoka tu mbele kukafa Click to expand... Akileta ndoo atasamehewa vinginevyo kiti moto atawekwa