Ndio nakubali uchovu upo lakini wakicheza kwa malengo unapata matokeo. Mfano leo goal lilivyorudi wachezaji baada ya kuchukua mpira kwenda kuanza wote wameshika vichwa na kunyong'onyea angalia City wakifungwa au wakirudisha wanavyokuwa na haraka ya kupeleka kati mpira uanze