Karbu the special Juan,,, tunahitaji umaridad wako kwa kipindi hiki kigumu,,, ila im sorry wakuu hivi yle mata wa chelsea na combnation yake ya hazard na oscar alishawah kuonekana akiwa utd?? au tim yetu bado ina wachezaj wa kawaida sana?? kuna game walifanya nikaacha mpira ukiwa half time,, though tulshinda 3-2 ila kwa ubabe wa SAF tu
usijali mkuu kuhusu points sita Newcastle imeshapanda tayari ndio wamebadilishana na hawa wapuuzi,
Nakumbuka ile siku wachezaji waliumia sana, hasa kitendo cha mashabiki wa blunderland kufurahi na kushangilia goli la aguero kama vile wao ndio wamechukua, Rooney kwenye press aliongea kwamba wamesikitishwa sana na wachezaji wameumia mno kwa walichokifanya hawa blunderland kuliko hata city kuchukua ubingwa.
Kama mwezi mmoja uliopita jose aliwahi ongelea suala la januzaj alisema hatma yake ilisha amuliwa zamani, so sioni kama ataendelea kuwa mchezaji wa manchester, more likely atauzwa tu mwishoni mwa msimu,
Granada nao wameshuka daraja sasa sijajua kuhusu perreira kama atapelekwa kwa mkopo timu nyingine au atarudishwa.
Dogo ana kipaji lakini attitude aliyo nayo sidhani kama atafanikiwa kwenye soka,Wachezaji walio kwa mkopo Andreas Perreira ndio anastahili kurudishwa United