Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Ningependa Tuanzebe aanze badala ya Blind lakini nimjuavyo Mourhnio hilo haliwezekani labda mtu atumie vinginevyo uzoefu utaongoza
Mkuu hii ndiyo confirmed line up??de gea
valencia bailly carrick shaw
fellaini herrera
lingard
mkhitaryan rashford martial
Yeah bado hajaonyesha thamani yake,lakini hajafikia hata nusu ya uwezo wake alipokuwa Juve.Daah Pogba anakata viuno uwanjani?
Sahihi kabisa,na nadhani leo ni Match ya Fellain na Herera pale kati wakisaidiana na Carrick katika nafasi ya kiungo.Kuchezesha viungo wawili katikati tutakua tumejichimbia shimo. Nadhani Herrera-Carrick-Fella watafaa zaidi kukimbizana na pasi za City.
Hapana mkuu,hii ni navyotaka iwe mimiMkuu hii ndiyo confirmed line up??
Kweli mkuu hii gem inastahili tuchezeshe viungo Wa 3 kat namanisha 4 3 3Kuchezesha viungo wawili katikati tutakua tumejichimbia shimo. Nadhani Herrera-Carrick-Fella watafaa zaidi kukimbizana na pasi za City.
Yeah bado hajaonyesha thamani yake,lakini hajafikia hata nusu ya uwezo wake alipokuwa Juve.
Anatakiwa kupambana na kuonyesha thamani yake,mchango wake ni mdogo sana Mkuu,hata facts za kutisha.
Guardiola amejiamini nini kuanzisha attacking ya watu wa 4 tena soft kabsa tunaenda kuwaua tukiwazidi ndo bathi tena hao kukaba tatizoCITY XI | Bravo, Zabaleta, Kompany (C), Otamendi, Kolarov, Fernandinho, Yaya Toure, Sterling, De Bruyne, Sane, Aguero [HASHTAG]#cityvutd[/HASHTAG] [HASHTAG]#mcfc[/HASHTAG]