huyu messi mpira huu ataucheza hata kama anamiaka 40.maana ndo yupo hivyo tokea tumboni kwa mama yake tokea alivyokuwa just a sperm aliwapiga chenga wenzake akazama kwenye yai
Zawadi ninayowapa ni likes kila anaecomment kwa hii post ambaye ni man u fan! Nataman likes ziongezwe mi nikichoka napitia humu naweka like comments zote and I feel dope!
Mourinho: "We will prioritise the Europa League. You don't get a trophy for finishing 4th. In this club, we want to win trophies." [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]
Yaya Toure atoa mpya adai mechi yao na Manutd Alhamisi ni vyema ichezwe bila ya refarii! Kisa eti makosa ya marefa yamemchosha hasa baada ya bao halali la Sergio Aguero kukataliwa kwenye mechi yao na Arsenal F.A cup semi

Marefa wamezidi kuvurunda mfano El Classico jana km ingetumia "video technology referee" basi goli la Casemiro lingfutwa pia nafikiri Marcelo angepigwa red
Nasikia Bundesliga next season itsanza kutumika
Baada ya kuthibitika Ibra kutoonekana uwanjani Mourhnio kaingia sokoni na agent wa Antonio Griezmann kathibitisha Manutd wako tayari kulipa £85mill ambazo ndiyo release clause ya huyo striker.