Hahahhaha mimi hata youtube naitafuta now now inisuze moyo!!.... wameniudhiii kweli hawa spurs!, na sisi tuje tuwafunge tu hivi virent boyz wacha viwe vishindi hamna namna, maana mechi hii ilikuwa yao full squad,wametawala game,vimakosa vyao vimewakost wameshindwa kunilipia kisasi sasa adhabu yao EPL tuwatandike nyingi nyingi wakome!!
hahahhahahaha ......