Ibra kapwaya leo,hayupo mchezoni kabisa,afu sijui kwanini Mou hakumtoa kumuingiza felain,Rash ford na Fella in wakisimama kati na Lingard akitokea pembeni
Ugumu Mou leo kautaka mwenyewe,hii game ilikuwa ya kumaliza mapema,angeanza na kikosi kama kilichoanza na Chelsea mabadiliko yangekuwa machache,namba tatu