Habari humu mjengoni!! I missed you so much,hongereni kwa ushindi,na poleni kwa ups and downs mbalimbali tulizopotia kama timu,ndo vile mambo ya mchezo hayaepukiki,.....GGMU
Habari humu mjengoni!! I missed you so much,hongereni kwa ushindi,na poleni kwa ups and downs mbalimbali tulizopotia kama timu,ndo vile mambo ya mchezo hayaepukiki,.....GGMU
naomba Mungu amjaalie shujaa wangu Andy cole 9 arudi katika afya yake baada ya upasuaji.
Andy cole ndiye mwanadamu aliyenifanya nipende mpira
187 premier league goals na goli moja tu likiwa ni la penalty.
marcel dessailly : Cole one of the hardest opponents I had faced, chiefly because of his movement.
Ciro Ferrara ni miongoni mwa walinzi wabishi kuwahi kutokezea ila varangati la andy cole 1999 hatalisahau.
unapowaona watu hawa mbele unakua na matumaini hata kama tayari aggregate uko nyuma kwa bao tatu tena ugenini