Wachezaji wenyewe ni wasteful...timu ina create nafasi za kutosha. Man utd ni ya tatu kwa shots ikiwa na shots 499(kabla ya hii game) ila ni ya 17 kubadili hizo shots kuwa magoli.
Ibrahimovich kafunga magoli 250 tangu amefikisha miaka 30(2011) kwa mechi 308, kabla ya kufikisha miaka 30 alifunga magoli 232 na alicheza mechi zaidi ya 500.