Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya kufungwa Manutd kiwango kimependa ghafla swali la kujiuliza ni kwanini hadi wafungwe?
 
Manutd wakiwa na mpira Everton wanajirundika kwa sababu Manutd hawachezi kwa kasi
 
Wachezaji wamelizika sana Young anaingiza cross hakuna mmaliziaji. Kufungwa na team mbovu kama Evertone ni aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…