Manchester United (Red Devils) | Special Thread

lyon ni timu ya kuihofia sana, namu-admire sana golikipa wao.

Sijawafuatilia kwa ukaribu hao jamaa, ila nimesikia habari zao kuwa ni wazuri

Kuanzia weekend hii nitaanza kuwaangalia kwenye ligi yao

Ila ni nafasi yetu kubwa sana kuchukua kombe hili msimu huu, kwa timu hizo zilizobaki
 
Hongereni humu ndani ni maombi yangu mpangiwe celta Vigo au Anderlecht Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…