Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,381 Offside Chelsea
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,382 Mourhnio kanuna
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Mar 14, 2017 #61,383 Good Try Rashford.
Newfame JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 485 Reaction score 1,134 Mar 14, 2017 #61,384 Rutashubanyuma said: Aliagizia na Rojo hakuzuia huku Pogba hakumkaba Kante Click to expand... Rojo alijitahidi kuzuia lakini unaona making ile ilihitaji wachezaji wawili zaidi
Rutashubanyuma said: Aliagizia na Rojo hakuzuia huku Pogba hakumkaba Kante Click to expand... Rojo alijitahidi kuzuia lakini unaona making ile ilihitaji wachezaji wawili zaidi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,385 Mabadiliko wakati wowote ule
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,386 Rashford hana msaada hivyo kusawazisha ndoto
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,387 Rashfordddddd asaaaalale
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,388 Huu mpira bado sana
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,389 Manutd wamekoswa na counterattack
God Heals JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 720 Reaction score 1,370 Mar 14, 2017 #61,390 N'golo Kante kashafanya yake, Chelsea 1, Man U 0 51'
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,391 Kona Costa akosa bao la wazi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,392 Yaani Costa hakukabwa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,393 Manutd wanapumulia mashine baada ya Herrera kulimwa red card
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,394 Sasa ni Chelsea tu wanacheza
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,395 Costa anajiangusha akitegemea penati hakuna kitu
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,279 Reaction score 22,169 Mar 14, 2017 #61,396 Sasa updates ziko wapi?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,397 Pamoja na kuwa wachache manutd kiwango hakitii matumaini
Dirham JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 490 Reaction score 543 Mar 14, 2017 #61,398 Kwa hali hii ndiyo tumeshatoka
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,399 Jinsi Rashford alivyokosa kusawazisha inaonyesha bado ni kinda tu kwani badala ya kubutua akambabatiza kipa
Jinsi Rashford alivyokosa kusawazisha inaonyesha bado ni kinda tu kwani badala ya kubutua akambabatiza kipa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 14, 2017 #61,400 Sasa tunasoma namba