Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi schweinsteiger ana tatizo gani?? Maana mou simuelewi kabisa.. Alimpa jamaa nafasi akafanya maajabu lakini toka hiyo siku hajampanga tena!
 
Ukweli mgumu man u team yangu but kwa leo tunapigwa labda conte apange kikosi dhaifu maana tukikamilika tu jamaa wanatupiga sasa na hali tuliyonayo duu
 
umesahau hii mechi ya Liver hatukua na striker akacheza Fella na tukampiga Liver goli 3.
 
Nashangaa wameshaanza nidhamu ya woga mapema, mi sioni pengo lolote kumkosa zlatan, zlatan ni sawa tu na mkubwa fela, hao martial na rashford hata kama wasingekua injury si wachezaji wa kutegemea wakukupa positive result wakiwemo, kwenye gemu 4, mechi moja tu ndo wanaweza kucheza vizuri, zilizobaki zote wakaharibu, so timu ni ile ile tu, hakuna pengo lolote, musilete visingizio mapema bure
 
# 9 atacheza big Fella mkuu
 
Report zina claim kwamba ingawa rashford inasemekana kwamba n mgonjwa ameweza kwenda London he can be featured tonight let's wait n see may be ts just rumors tu may be it can be a mind games za mourinho napia kingine kinasemekana mou hana was was wa kupoteza Leo koz anataka kubakia Europa league so he got nothing to lose today coz itamwongezea focus kwa only two competition
Nawasilisha
 
Conte said: "I'm very focused on the pitch. The mind games don't bring you to win, above all if you face a team who is focused."
 
Chelsea are unbeaten in their last 11 meetings with Manchester United in all competitions (W6 D5), last losing to them 3-2 in October 2012.

United have scored just three times in their last nine clashes with Chelsea, and never more than once in any of those games.
 
Chelsea and Manchester United have met in the sixth round of the FA Cup three times before, with the Blues progressing twice (1949/50 and 2012/13).

Conte reached the Coppa Italia quarter-finals in each of his three seasons at Juventus, but didn't go onto win the tournament (runners-up 2011/12, semi-final 2012/13 and quarter-final 2013/14).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…