Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama naangalia rugby hakiyanani. Kwa huu mpira wa kubutua lazima waingie watu wenye pace kama martial au rashford ili kukimbizana na mipira.
 
Kama naangalia rugby hakiyanani. Kwa huu mpira wa kubutua lazima waingie watu wenye pace kama martial au rashford ili kukimbizana na mipira.

Hiyo pitch ni risk sana kwa wachezaji wa aina hiyo,ni rahisi kuumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…