Ilikuwa aanze Carrick na Herrera na Pogba asogee
Halafu mata anapanda juu
Any way hata kama hamtaki Carrick ange mweka Young, mechi mbilo za mwisho alikua poa
Japo lets wait and see, labda kocha ana teknik zake zitamfaa leo
Leo itakuwa ni siku ya furaha kwa kila mshabiki/mfuasi/mnazi/mpenzi wa Man Utd
Leo itakuwa ni siku ya kwanza Man Utd kuchukua ubingwa msimu huu, YES nimesema siku ya kwanza maana msimu huu kutakuwa na siku kama hii ya leo {Kuchukuwa Makombe}