Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatuko vizuri sana upande wa kushambulia na hao warusi ni wazuri kwa kudefence ukiangalia na hali ya hewa ya urusi baridi kali sana, game ngumu kwetu
 
Hatuko vizuri sana upande wa kushambulia na hao warusi ni wazuri kwa kudefence ukiangalia na hali ya hewa ya urusi baridi kali sana, game ngumu kwetu
Gemu ngumubkwetu bt safari inaanzia kwao....
 
Ila jaman kuna mkuu alisema hawa Rostov sio wakubeza na kwel duh wanakipiga sana nimeangalia mechi yao waliotokea nyuma nakushinda 3-2 against Bayern na atletico draw wako vizuri lakin wacha wabane wataachia tu ggmu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…