St ettiene vs Man utd itachezwa kesho jumatano saa mbili usiku ili kupisha maandalizi na siku za kutosha kwa Red devils kwa ajili ya fainali ya jumapili
Vivyo hivyo pia Wayne mark Rooney "WAZZA" anaweza kukosa fainali hiyo ya jumapili dhidi ya Southampton kutokana na kuendelea kusumbuliwa na misuli..
#GGMU#