Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pheew!! At last!!..

Wacha1 manure wapo nyuma kwa goli moja mpaka sasa kamanda!!..khe khe khe
 
BELINDA mama umeona huko vijana wanavyofanya kazi???
 
Mh...ukipiga ile Nsanza..ile mboga ya kinywamwez una enda raund tatu....bado moja...goli la pili limwendee AW...asante kwa kutusapot.
 
hawa sio level ya Man U kabisa..ni level ya arse---nal
 
Wacha1 naomba tuwekee mapics please hahahaha.....
 
Majonzi yameisha zamani, si unajua matatizo ya kizidi mtu unakuwa sugu na kuyazoea lol.

Naona kweli kabisa leo hapa uko salama na ndio maana umejitokeza tangu mapemaaaaaa lol, nakukubali sasa kwa kusoma game lol.

Hongera kwa kuzoea matatizo!!

AW tunza vifaa vya CPR mana leo ni salama salimini!!..umeona lakini, tunajiamini kwa sana Maure!!..Hureeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…