Majirani wako wapi? Japo hangera za kinafiki leteni tu tunapokea
hahaaa hautawaona hata, afu ukute majirani wengine ni Barca basi ni maumivu juu ya maumivu.Majirani wako wapi? Japo hangera za kinafiki leteni tu tunapokea
Hawawezi kuja huku leo wanaugulia . Wengine wanatudhihaki, tunacheza futuhu huku wao wanatamani kushiriki hiyo futuhiMajirani wako wapi? Japo hangera za kinafiki leteni tu tunapokea
Hawawezi kuja huku leo wanaugulia . Wengine wanatudhihaki, tunacheza futuhu huku wao wanatamani kushiriki hiyo futuhi
Kwa kweli Shaw anajua hope mambo yatakuwa Sawa kwakeNaona ile mbinu ya kuwapiga bench na kuwaachia inafanya kazi bado shaw
Hakuna bifu hapo
Tutamaliza wa pili au watatu pamoja na makombe matatu...wakuu nasisitiza tena na tena team iko vizuri sana!!ni hili suala la kuwa nafasi ya sita tu ktk ligi ndio linatutia nuksi lakini team iko poa...jiandaeni kupokea makombe ma 3 tukifulia sana ma 2
[HASHTAG]#ggmu[/HASHTAG] tuko vizur sanaaa this time

Utani mbaya huu mjomba, utani wenye ukweli ni shida.wakat kuna timu moja kubwa inacheza juma pili had juma pili kama NICE ya balotel wanaliponda futuh walishindwa hata kumaliza nafas hiyo ya futuh walikuwa wanahaha kushuka daraja kama leicester city kwa sasa.
Hawa jamaa wamefanana kama mayai, alafu wanapenda sana mirangi rangi
Rangi zote zao hata hawana kinyaaHawa jamaa wamefanana kama mayai, alafu wanapenda sana mirangi rangi
