Aaaahhh bana usiombee hilo tutashinda..... japokuwa hatutatoka namba sita ila next match ile na watford nadhani ndo itakuwa wakati wetu mzuri wa kuchomoka sita....come on Man U in God we trust.....GGMUBasi utashangaa kesho Leicester anachukua point zake. Yaani kama tumerogwa hivi...
GGMUAaaahhh bana usiombee hilo tutashinda..... japokuwa hatutatoka namba sita ila next match ile na watford nadhani ndo itakuwa wakati wetu mzuri wa kuchomoka sita....come on Man U in God we trust.....GGMU
Be positive and optimistic brother...Basi utashangaa kesho Leicester anachukua point zake. Yaani kama tumerogwa hivi...
Mkuu Sikosoi Mawazo Yako Lakini Kabla Ya Kuanglia Mafanikio Ya Kocha, Ni Busara Pia Kuangalia Aina Ya Timu na Wachezaji Alionao!!!
Mtazame Gurdiola Mafanikio Aliyoyapata Kwa Barca na Bayan Je Kwa Man City hile Anaweza Kuyapata? Katu......
Kwahiyo na Hata Klopp Kutokea Dortmund na Liverpool Hawezi Kuwa na Mafanikio Sawa na Morinho aliyekuwa na Chelsea Ya 2004 mpaka 2007, Au Real au Inter (Ya Wakati Huo) na Hata Porto Ya Wakati Huo Ya Kina Deco......
Ni kama tumelogwa na liver maana akidraw na sisi hivyo hivyo rejea our last two draw.Kesho sijui itakuwaje...Be positive and optimistic brother...
mi nachopendaga zaidi tu ni
1. Man utd kubaki midomon na akilini mwa watu haijalishi ni washabiki wa Man U au si washabiki wa Man U
2. Watu kukimbia threads za timu zao na kuja kujibanza huku kwenye Thread ya United
Sipati picha ingekuwa sisi wa United tunafanya ivo sijui ingekuwaje! Inashangaza sana kwmb yawezekana hata washabiki wa Man U wasiwe hata interested kupitia threads sijui za Arsenal, Chelsea au Liverpool lakini wanazi wa timu hizo wamejazana hapa jamvini kila cku mapovu kuwatoka
GGMU!!
Ni kama tumelogwa na liver maana akidraw na sisi hivyo hivyo rejea our last two draw.Kesho sijui itakuwaje...
Mbona ndoo tushaibeba sana, 20 timesUnajitekenya na kucheka au una hasira?
Eleza matarajio ya Man. United msimu huu. Unataka ndoo?
Mfamaji weweMan utd kesho mnapigwa.
Unatest zari..Man utd kesho mnapigwa.