Manchester United (Red Devils) | Special Thread

EPL statistics so far. Best combinations

Son + Eriksen + Ali + Kane = 36 Goals

Walcott + Ozil + Sanchez + Giroud = 35 Goals

Hazard + Willian + Costa + Pedro = 34 Goals

Millner + Mane + Lallana + Firmino = 30 Goals

Nolito + Aguero + Ihenacho + Sterling= 24 Goals

De Gea + S. Romero + Joel Castro + E. Bailly + P. Jones + M. Rojo + C. Smalling + L. Shaw + M. Darmian + A. Tuanzebe + P. Pogba + Mata + J. Lingard + M. Carrick + D. Blind + A. Young + Ander Herrera + H. Mkhitaryan + T. Fosu-Mensah + A. Valencia + M. Fellaini +B. Schweinsteiger + Z. Ibrahimović + W. Rooney + A. Martial + M. Rashford + J. Wilson = 33 Goals
 




hizo ni combination?


spurs kidogo wana combination

chek man city hao wamewah kucheza pamoja?



angalia maana ya combination

msn - mess,neymar,suarez.


bbc-bale,benzema christiano.


sasa hao vululu vululu unatuambia combination epl bana!!!!!!


hiyo combination ya chelsea duuuuuu
 
milner ebwana eeeh, kwa chelsea ongezea Cahill nako ingependeza sana.
 
Acha chuki binafsi, Man U penda msipende mtaipenda tu!
 
Naona Liverpool kaamua kuanga mashindono .....

Na arsenal Leo nae ananga mashindanoooooo
 
Rooney becomes the club's record goal scorer and shouts at team mates to get the ball, Giroud was busy dancing like a knob. [HASHTAG]#kutokatwitter[/HASHTAG]
Its stupid to Compare Giroud to Rooney, Arsenal's record holder is Henry. That's where you can make your fair comparison

Anza sasa........
 
Hatimaye wale jamaa wa Gengenpressing waliokuwa wanakuja kupiga kelele hapa wote wamejipiga ban
 
Its stupid to Compare Giroud to Rooney, Arsenal's record holder is Henry. That's where you can make your fair comparison

Anza sasa........
Hebu amka inaonekana bado hujaelewa,the issue ni kwamba Giroud amefunga goli la kusawazisha zimebaki dakika 3 anapoteza muda kushangilia while angeweza kurudi mpira uanze wafunge goli la ushindi.Rooney alifunga goli akawa anakimbilia kati Stoke waanze mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…