Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah ningekuwa wa kubet leo ningeshinda aisee...

Hongereni ila Southampton sidhani kama watawaacha. Tukutane next month Wembley.


Hongereni..mnaweza kurudi jukwaani kwenu.

labda refa awe upande wao kama jana
 
Sijui waliichukulia poa ama vipi?.....Mimi kikosi cha leo hakikunibariki kabisa ndo maana sikukoment chochote,tunashukuru Mungu tumepita .....Wembley kwa mara nyingine
all the best Man U.


Naona kwa sasa wanataka kuangalia epl mana huku tushamaliza ukiangalia timu ya jana kama wanakamilisha ratiba walienda kusaka droo na ilikuwepo ila refa sasa nae daaa
 
Hongereni sna wekundu kwa ushindi mwembamba kabisa. Pia special thanks to everlenk kwa kubana matako maombi maalumu kwa timu yake hadi matokeo yamepatikana mazuri......!!!!
 
Hii alivyotoka Fregie angepewa high Special One kuliko yule Chaguo la kwenda.

Tusengesafa kama hivi
 
Jamani jana sisi tumefungwa, mbona hata hamtusemi.. nini shida?!.. hey haters
 
Hongereni sna wekundu kwa ushindi mwembamba kabisa. Pia special thanks to everlenk kwa kubana matako maombi maalumu kwa timu yake hadi matokeo yamepatikana mazuri......!!!!
Hahahahaha mbona weee hukubana naniliu ushindeee?
 
Sijajua Hull wana mechi gani this weekend ila Evandro na Abel wangeanza ingekuwa another story.


However, sifa kwenu esp de Gea...

Leicester next...labda watafufukia kwenu!
Leicester vs who? Chelsea? Sisi tunacheza na Wigan FA Cup then wednesday 1/2 tunacheza tena na hao Hull City tutayaona unayoyasema sasa hivi.
 
Jose Mourinho is unhappy with Anthony Martial and the forward's future at Manchester United beyond the summer is uncertain, Sky sources understand.

Mourinho has made it clear he has plenty of options in wider positions with Marcus Rashford, Jesse Lingaard, Henrikh Mkitaryan, Ashley Young having all been utilised in those areas this season.

United are also expected to bolster their attacking options in the summer, which would raise serious questions about the future of a player who has scored just two Premier League goals in the current campaign.



Anthony Martial's Man Utd future in doubt with Jose Mourinho unhappy with forward - Sky sources

Litakuwa kosa kubwa sana Mourinho akimuuza huyu dogo!
 


Mkuu huyu dogo namkubali sana ila fom yake huwa haitabiliki kuna game anakuwa fit kuna game had unajutia kwa nini kacheza game chache alizopewa chans hakuonesha juhudi sana anapoteza mipira kiurahis sana hasa game ya watfod ,liver na arsenal mou alichukia sana
 
Mou atakuwa nnafiki katika hili,hakuna mchezaji anezngua kwenye game nyingi kama pogba ila anamvumilia tu sasa anashindwaje kumvumilia huyu dogo?? Martial ni zaidi hata ya huyo lingard na young,asitake kuyarudia makosa ya moyes
 
Mou atakuwa nnafiki katika hili,hakuna mchezaji anezngua kwenye game nyingi kama pogba ila anamvumilia tu sasa anashindwaje kumvumilia huyu dogo?? Martial ni zaidi hata ya huyo lingard na young,asitake kuyarudia makosa ya moyes
Nafasi ya Martial kuna wachezaji karibia 6 wanagombania namba (Lingard,Waza,Young,Rashford,Mata,Mkhitaryan) while Pogba anagombania namba na Fellaini na Bastian

Ukishakuwa na washindani kwenye namba yako hakikisha ukipewa nafasi onyesha uwezo wako,sidhani kama kuna mtu alitegemea Rojo/Jones watakuwa kikosi cha kwanza
 
Mou atakuwa nnafiki katika hili,hakuna mchezaji anezngua kwenye game nyingi kama pogba ila anamvumilia tu sasa anashindwaje kumvumilia huyu dogo?? Martial ni zaidi hata ya huyo lingard na young,asitake kuyarudia makosa ya moyes


humu kuna takwimu za pogba tumeshaziweka fuatilia utagundua umuhimu wa pogba japo kuna mech kavurunda lakin tambua pogba had sasa ana goli 7 ktk mashindano yote kwa nafas anayocheza halafu ndo msimu wake wa kwanza na ana presha ya pesa iliyotolewa


martial si mchezaji mbaya kinachoumiza akili ni fom yake anapanda na kushukua hatabirik anazidiwa had na rashfod kwa kudribo na kutengeneza nafas

kilichomuuzi zaid kocha ni pale aliposhindwa kumsumbua bek 2 wa liva yule mtoto alimkaba vizur sana martial lakin rashfod ni msumbufu sana japo bado nako kwenye kufunga hakajawa makin ila naiman kubwa sana na rashfod mana bek huwa zinapata tabu kukakaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…