Jumlisha timu zote za London na makombe yao yote waliochukua bado hawawezi kufikia record ya manchester au Liverpool.Hongera United kwa ushindi ila mkuu Manda comments yako hapo sio sahihi! Yaani wewe hujaona timu ya kubeza hapa ila Arsenal? Ama ile Dozi tulokupeni Emirates imekutia uchungu sana? unaongelea Gunnaz wepi? Kabati la Gunners sio tupu kaka.
Hii 'mickeymouse cup' mmeshinda ila itakuja na gharama, kwenda Asia ambapo kila kitu kimebadilika weather,altitude etc. Haiwezekani wachezaji wenu waweze recover so quickly na hilo mzee wenu Fergie analielewa ila credit crunch imekukamateni pabaya kaka cash zimewapungukia na madeni yamewazidi mno, hio hela ya hii competition was too tempting na muko so desperate hamkuwa na option nyengine otherwise Ronaldo angeuzwa Madrid January!
Anyway good luck for the rest of the season.
Asante Ab-T,...nilikua napitia kutoa salaama aleikum nikakuta mumeshinda
World Cup ya vilabu...congrats kwenu jamani(..japo sitaki kuisema..mmmmh!!)
Jamaa hawataki kuona yaliyo wazi mbele yao..and let them wait for mayJumlisha timu zote za London na makombe yao yote waliochukua bado hawawezi kufikia record ya manchester au Liverpool.
Tukishinda viporo vyetu tunarudi kileleni
Benitez kaanza kuchanganyikiwa
shughuli imeanza: Vidick kaweka kichwa safi. Man U 1 - 0 Chelsea HT.
Ninaomba link ninayotumia Manchester United vs Chelsea Live|Mant Utd vs Chelsea Live Highlights haina sauti.
Wakubwa vijana jana wametoa dozi ya uhakika kama kawa Vidic kamuweka Drogba mfukoni
Kusema ukweli PARK JI SUNG ndio mchezaji bora wa MAN kwa sasa ,kamtesa sna JT jana
Unajua wanaposikia SAF akisema ubingwa ni wa Man watu wanadhani anafanya blah...
Jana ilikua best Sunday kwangu kwa muda mrefu.
Wanajifanya hawasikii ila kumbe wana-elewa..
Last time nilipokuwa nasema game fixtures za duru la pili zinatupa Advantage sisi this is what i was talking about, for the rest Big 2 teams wasitegemee wataondoka na point or points OT..
Ligi ndio kwanza imeanza na wasithubutu tukalie usukani pale juu. Fate will prove me am right.
Wazee wa trafford kongwe naomba mnifahamishe, mechi dhidi ya wigan athletics ilikuwa jana au inapigwa leo?
Wazee wa trafford kongwe naomba mnifahamishe, mechi dhidi ya wigan athletics ilikuwa jana au inapigwa leo?