Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hilo linahitaji fikra huru kugundua. Kama fikra imejaa ushabiki maandazi hawezi kuona tofauti.
Wewe lini umewahi kugundua tofauti kwa wengine?
Mazuri yote ni ya Man U pekee.
Hakuna mfia timu kama wewe
.
 
Tatizo ulaya ila kwa hapa nyumbani mimi na weye chama moja jangwani
Bora hivi tulivyokuwa wamoja nyumbani...kumbuka nyumbani ndio zaidi kwingine tunaiga/kujipendekeza tu.
Huwa nawashangaa sana wanaotuponda tunaoshabikia mpira wa nyumbani.

BTW hivi jana mikia matokeo yao vipi?Sina khabari kabisa
 
Ajabu sana mrembo smart kama wewe kuangukia timu mbovu!
Mkuu ninavyoipenda Arsenal... Siwezi kabisa kuelezea.
Pamoja na ups & downs zote sijawahi kujutia kuipenda Arsenal maishani.

Hivyo basi ukipata mdada shabiki haswa wa Arsenal oa fastaaaa,tu wavumilivu na wenye mapenzi ya dhati.

Seriously.
 
Nina pasua kichwa mmoja mshabiki wa Chelsea tumepinga wakichukua ubingwa namvalisha pete!
 
Nina pasua kichwa mmoja mshabiki wa Chelsea tumepinga wakichukua ubingwa namvalisha pete!
Hahahahahaaaaa si jana tu nimekudaka somewhere unasema.....lol

That's good then,japo ubingwa nautaka ila wakishinda Chelsea sio mbaya ahadi yako ipate kutimia.
Usijepata cheo cha 'senior bachelor' teh
 
Hahahahahaaaaa si jana tu nimekudaka somewhere unasema.....lol

That's good then,japo ubingwa nautaka ila wakishinda Chelsea sio mbaya ahadi yako ipate kutimia.
Usijepata cheo cha 'senior bachelor' teh
Aaaah wapi hapa najiuliza nikamhonge Conte, Costa, Hazard au Kante auze timu?!
 
Bora hivi tulivyokuwa wamoja nyumbani...kumbuka nyumbani ndio zaidi kwingine tunaiga/kujipendekeza tu.
Huwa nawashangaa sana wanaotuponda tunaoshabikia mpira wa nyumbani.

BTW hivi jana mikia matokeo yao vipi?Sina khabari kabisa
Swadakta kibaya chako na ukarimu huanzia nyumbani kabla ya vilabu vya ulaya tulianza kushabikia hivi kikwetu kwetu .
 
Ndugu yangu the bold kapata jiko hapa kwa uvumilivu huu !
 
Huu sasa uonezi kila man u wakishinda wapo pale pale wakate rufaaa bac

hakuna mwenye nafas ya uhakika hata waliopo juu wanahangaika tu leo mbili kesho tatu kesho nne manchester united anakwenda taratibu hatuna waswas mbio za sakafuni hatuzitaki

kidogo chelsea ka maintain lakina hao wengine hawana uhakika sisi tupo wa sita ila tuna madhara mbaya kwa waliopo juu yetu wanajua hilo ukishushwa na sisi kutupita inshu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…