Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Bila shaka hii imeandikwa na shabiki wa Liverpool.
 
Mbimbinho

Wewe unaangalia Tv kwa macho pekee, mimi naangalia na darubini. Huwezi kuona offside ya Valencia kama huna darubini na hasa ukiwa Man. United fan.

Nenda Youtube ukangalie vizuri. Chuki isikufumbe macho.
 
Nilienda kuhakikisha kwa kucheki video,haikua offside.
Hata Webb kakiri mkuu, ila si kwamba nalazimisha ila uhalisia ulivyokuwa,tatizo lilikuwa kwa mwamuzi wa pembeni alipokuwa na Valencia alipokuwa huwezi kuiona offside, lakini kama mwamuzi angekuwa amesimama usawa na Valencia angeweza kuiona
 
Hata Webb kakiri mkuu, ila si kwamba nalazimisha ila uhalisia ulivyokuwa,tatizo lilikuwa kwa mwamuzi wa pembeni alipokuwa na Valencia alipokuwa huwezi kuiona offside, lakini kama mwamuzi angekuwa amesimama usawa na Valencia angeweza kuiona

Kwani Webb ni nani? Nenda youtube ukangalie tena.
 
“Seeing me winning something and not my team-mates isn't the way I want to have it. I prefer to see my team-mates winning trophies and the individual trophies will follow. That is a second objective, not my main target. I am scoring goals, but if we could be first in the Premier League and I have five goals, the media will be attacking me and saying he cannot do it in Premier League, but I would prefer to have it this way as it’s all about winning as a team. Everybody will talk about what they want. I am here to win.”
 



Antonio Valencia has completed 26 crosses this season than any other Premier League player with a 27% cross completion. [101greatgoals]

-RS
 
ni muendelezo wa msimu mbaya wa chama letu pendwa baada ya Sir Feggie kutundika daluga
refa wetu Howard Webb nae kufuata nyayo
akajitokeza refa wetu mwingine huyo hata ukimuongelesha mchezaji wa timu yetu unapewa kadi nyekundu
habari mbaya ni kwamba kashushwa daraja sasa atakutana na Newcastle
Mike Dean tutakukumbuka sana
Mechi iliyokushusha ulitupunguzia mzigo na west ham utd
Maana Pogba kawa mkabaji siku hizi
tumebaki na refa mmoja Mark Clatenburg
 
Na kule UEFA vipi maana tulicheza fainali 4 chini ya Sir Feg...tupe listi ya marefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…