Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
hebu tusubiri official list tuoneTatizo Fella hawezi kwenda na rythm ya mechi. Uwezi kumuweka Herrera benchi ukamuamzisha Fella.
Kuhusu Height kuna Ibra,Pogba,Jones wote hao wanaweza kutumia hizo set pieces vzuri.
mkuu mbona game ya kwanza wakat manchester united alipokuwa anakuja kwenu uliongea mnaenda kutufunga ina maana liverpool ilikuwa na wazaliwa na hukusubilia dakika 90 leo kuna nini?
Acha zako wewe, Rashford ni mzaliwa wa Manchester,Lingard mzliwa wa Manchester,Pogba ni mancunian. Kama nyie liver ndio mna mamluki msidhani ni wote.
Jifunze KuQuote Kimantiki na Sio Kijazba... Nilichokiongelea Mimi Ni Tofauti na Unachokieleza!
Wachechaji (Younsters) Waliotoka Academy hata Liverpool Wapo lakini Sikuchukua Kama ni Criteria Ya Derby...
Hivi Katika Lgends Wanaofatilia Huu Mchezo Waweza Mchukua Lingard Kuwa ni Provocation Yoyote?
Tulia wewe tuwanyoyoe Liverpool kwa kiwembe bila majiAsante everton,bado man u nae alizwe badae