This place should always be scary. DM na LVG walipageuza na kupafanya pawe kama Kunduchi Wet n Wild water park.
Now watu wataanza kuja wakiwa na wasiwasi mwingi.
Ulishawai kuona shetani likipanda jogoo linavyochinjika ata kwa meno"??? Karibu O.T sisi ni WWWWWWWW tu "ata washushe Gerald,Torres, Hypia, ,suarez.....wanachinjikaaaaaaaaaaa