ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Huyu jamaa anaipenda sana Utd...coment zake nyingi either -ve/+ve kuhusu progress ya team huwa zinaambatana na internal love yake kwa club.Scholes na jeuri yake yote, sasa hivi kaanza kukubali mziki wa Mou taratibu
Uyo uyo Kante aliwachoma kimoja cha dawa. .na bado atawachoma tena.
Ataivunja hiyo rekodi hilo goli moja atalipata
eti kisa madogo ndiyo wamecheza na si kikosi chake cha kila siku.Km kashindwa kuwafunga kwake ataweza kweli kuwafunga kwao ...na kesho droo sasa
Karibu sana kiongozi, tulisongesheWakuu heshima kwenu,,, kwanza hongera kwa ushindi huu wa mabao 4 kwa 0, ningependa kukaribishwa katika jukwaa hili maalumu kwa chama kubwa Man Utd,, n mdau japo nlikuwa sishiriki kwa kua sikuwa jf member,, pongezi kwenu Wakuu,, good job,, Kisu cha ngariba,, mussolin,, bavaria,, fund herrera,, sister,, na wanajumuia wote wa great Utd,, GGM Man Utd
Karibu sana kiongozi, tulisongeshe
Hii habari ni njema sana.Injury updatedView attachment 457016