Asante mumy nimekaribia kwa nguvu zote sasa....pole kwa kuwa mpweke ila naamini as a dada ulivumisha vizuri kigelegele humu.h
happy new year to you too, vipi ulienda kuhesabiwa nini mana si kwa kupotea uko. ila karibu tena jukwaani.
Huko wako bomba kabisa tunashukuru Mungu sikukuu zote zimeenda fresh,ni mvua tu imekataa msimu huu ila siyo mbaya sana hata kwa kidogo Mungu anasaidia....jitahidi tukiwa wazima mwaka huu uende si unajua tena wazazi wanafurahi sana,nipeni story zinazojiri humu maana nilikuwa nje ya ulimwengu wa soka kabisa.Wazima nyumbani? Nilitingwa na majukumu nikashindwa kwenda kujumuika na ndugu.
Huko wako bomba kabisa tunashukuru Mungu sikukuu zote zimeenda fresh,ni mvua tu imekataa msimu huu ila siyo mbaya sana hata kwa kidogo Mungu anasaidia....jitahidi tukiwa wazima mwaka huu uende si unajua tena wazazi wanafurahi sana,nipeni story zinazojiri humu maana nilikuwa nje ya ulimwengu wa soka kabisa.
Heeeee nami nimeenda fasta kuweka shada langu la maua[emoji2] [emoji2] ...... vipi mwezi huu ndo dirisha dogo?Nitaenda kuwasalimia. Uzi umetulia kwa sasa,tumeamia kwenye uzi wa Chelsea kwa muda. Msiba hauna mualiko.
Heeeee nami nimeenda fasta kuweka shada langu la maua[emoji2] [emoji2] ...... vipi mwezi huu ndo dirisha dogo?
Tetesi vipi nani na nani tunawawinda?Yah,lilifunguliwa tarehe 1.
Evelenk hahaTetesi vipi nani na nani tunawawinda?
Niambie best......mbona kicheko?Evelenk haha
Naona wanamuongelea yule Victor Lindolf pekee,sijasikia mwingine.Tetesi vipi nani na nani tunawawinda?
Tetesi vipi nani na nani tunawawinda?
Nawe pia hongera ya mwakaHahahhaha ulijuajeeeeee???? ...... tushaweka sensa yetu vizuri.
Happy new year wapendwa wangu wote!!!,nawapenda sanaaaaa, nimewamiss ile mbaya[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] yaani hongereni sana kwa matokeo mazuri yaani nilikuwa nainjoi sana, mdogo mdogo tutafikaaaaa....nilikuwa likizo, nilikuwa nawatamani sana niburudike nanyi ila mtandao ndo ulinitesa..... all the best Man U.....GGMU
Asante kakaNawe pia hongera ya mwaka
Hahahaha eti mpalatwa!!!Karibu sana mama la mama, ndo maana nilikuwa nashangaa mbona kama kuna flavor humu ndani imepungua, kumbe ulikuwa Mpalatwa