Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Acha tupumue kidgo, mark clitenburg, michael oliver na lee mason walituumiza sana, ila huyu jamaa anazichukia sana timu zinazotoka london
Na man cityTunashindwa kuelewa hapo, baada ya kuanza kuitwa ligi kuu ya uingereza na kutoka ligi daraja LA kwanza mwaka 1992, Liverpool hajawahi chukua kombe LA ligi kuu toka kipindi hicho, wamechukua timu kama arsenal, Blackburn Rover's man utd Chelsea na Leicester
your wrong bro sio zote, Mike Dean ni shabiki wa Spurs yule tafuta game zake anazochezeshaga za spurs matuta ya kutosha no adi kushangalia goal zao.
Kweli man, i had no idea by that time kwamba spurs nao wapo london.your wrong bro sio zote, Mike Dean ni shabiki wa Spurs yule tafuta game zake anazochezeshaga za spurs matuta ya kutosha no adi kushangalia goal zao.
Hii familia ya United kwa sasa ni furaha tu baada ya kufanya kazi kubwa ya kutengeneza timu.
Waliokuwa wanatubeza eti tumefanya usajili mkubwa huku matokeo ni mabovu sasa hivi wamekuwa maadui zetu wakuu. Wanaomba tupoteze walau match moja wapate pakuongelea.
Majirani zetu wengi (siyo wote) ni wanafiki, huwa wanakuja tukifanya vibaya. Tukifanya vizuri huwezi waona, hapa tupo wanafamilia tu na baadhi ya majirani wasio wanafiki.Hii nyumba siku hizi mbona pages hazisogei kabisa, yaani toka juzi hadi leo page 3 tu? wakati Nov nakumbuka sikuingia siku moja pages zilisogea zaidi ya 50.
Man united tuna STRENGTH IN DEPTH.Mourinho afanye rotation nzuri ili Fixture hii ya January isiwaumize wachezaji.
Kwa sasa mbio tamu ni za EPL na tukimpiga Liverpool tutakuwa tumesogea sana na fear factor itaongezeka.
Hivyo game za Jan 7 FA zidi ya Reading na Jan 10 EFL na Hull City afanye kupumzisha baadhi ya key prayers hata kwa kuwachezesha dk chache na si kuwaacha kabisa nje au kuwachezesha full time.
Ikizingatiwa game na Hull City ina marudiano Jan 26, hivyo haiwezi kuwa na tension kubwa sana.