Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Umesahau kuna watu maarufu kwa kuchumbia (hapa nimetumia tafsida )ila kuoa hawaoiWe endelea kufulahia long passes
Hili Ndiyo Tatizo La Uchamhuzi Wenu Wa Kuungaunga... Munapopostiwa Performance Ya Mtu Mmoja mmoja, Munamquote Kwa Performance Ya Timu Nzima...We endelea kufulahia long passes
Dah haya mkuu tumekuelewaHili Ndiyo Tatizo La Uchamhuzi Wenu Wa Kuungaunga... Munapopostiwa Performance Ya Mtu Mmoja mmoja, Munamquote Kwa Performance Ya Timu Nzima...
Wewe Kama Mwanasoka Umeletewa Performance Ya Midfielder! Basi Na Wewe Linganisha Na Ya Midfielder Wako! Sio Uchukue Mafanikio Ya Timu Nzima (Trophy) ukalinganisha na Mtu mmoja...
NOTE:
Sijakuquote Kwa Lengo La Kumsifia Henderson! Huyo Jamaa Simkubali Kwani Hafai Hata Kuchezea Jang'ombe Boys Ya Zanzibar Na Namuhesabu Kama Ni Worst Captain in BPL....
Kwani Hizo Takwimu Zake Za Pasi Ni Useless Passes ambazo Zote Ni "Backward Passes anazocheza na Mabeki Wake! Hana Assist hata Moja wala Pasi Zake Zinazowafikia Attackers Hazifiki Hata 10%.....
Kwahyo kumbe uchambuzi wenu nyie looserfool mnaufanya kwa long passes pekee?Hili Ndiyo Tatizo La Uchamhuzi Wenu Wa Kuungaunga... Munapopostiwa Performance Ya Mtu Mmoja mmoja, Munamquote Kwa Performance Ya Timu Nzima...
Wewe Kama Mwanasoka Umeletewa Performance Ya Midfielder! Basi Na Wewe Linganisha Na Ya Midfielder Wako! Sio Uchukue Mafanikio Ya Timu Nzima (Trophy) ukalinganisha na Mtu mmoja...
NOTE:
Sijakuquote Kwa Lengo La Kumsifia Henderson! Huyo Jamaa Simkubali Kwani Hafai Hata Kuchezea Jang'ombe Boys Ya Zanzibar Na Namuhesabu Kama Ni Worst Captain in BPL....
Kwani Hizo Takwimu Zake Za Pasi Ni Useless Passes ambazo Zote Ni "Backward Passes anazocheza na Mabeki Wake! Hana Assist hata Moja wala Pasi Zake Zinazowafikia Attackers Hazifiki Hata 10%.....
Hili Ndiyo Tatizo La Uchamhuzi Wenu Wa Kuungaunga... Munapopostiwa Performance Ya Mtu Mmoja mmoja, Munamquote Kwa Performance Ya Timu Nzima...
Wewe Kama Mwanasoka Umeletewa Performance Ya Midfielder! Basi Na Wewe Linganisha Na Ya Midfielder Wako! Sio Uchukue Mafanikio Ya Timu Nzima (Trophy) ukalinganisha na Mtu mmoja...
NOTE:
Sijakuquote Kwa Lengo La Kumsifia Henderson! Huyo Jamaa Simkubali Kwani Hafai Hata Kuchezea Jang'ombe Boys Ya Zanzibar Na Namuhesabu Kama Ni Worst Captain in BPL....
Kwani Hizo Takwimu Zake Za Pasi Ni Useless Passes ambazo Zote Ni "Backward Passes anazocheza na Mabeki Wake! Hana Assist hata Moja wala Pasi Zake Zinazowafikia Attackers Hazifiki Hata 10%.....
Leta statistics za wachezaji wako, hilo kombe hata leicester analoWe endelea kufulahia long passes
Kinachokufanya ww usiwe nalo ni nini?Leta statistics za wachezaji wako, hilo kombe hata leicester analo
Unao uhakika kua liverpool haina kombe la EPL? au unaropoka tuKinachokufanya ww usiwe nalo ni nini?
Unao uhakika kua liverpool haina kombe la EPL? au unaropoka tu
Looserfool HAINA kombe la Premier LeagueUnao uhakika kua liverpool haina kombe la EPL? au unaropoka tu
1. Manchester United – 13 TitlesNyie wenye nalo mko wapi saa hii?
Amechukua mwaka gani? Tuekee kumbukumbuUnao uhakika kua liverpool haina kombe la EPL? au unaropoka tu
Dah 13 anaefuata ana 4? Acha utd iendelee kuchukiwa na wapinzani1. Manchester United – 13 Titles
2. Chelsea – 4 titles
3. Arsenal – 3 titles
4. Manchester City – 2 titles
5. Blackburn Rovers – 1 title
6. Leicester City – 1 title
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
9999999999. Liverpool, simba, yanga, mbeya city, ndanda-0
Unao uhakika kua liverpool haina kombe la EPL? au unaropoka tu
Pamoja sana...12 jioni tukutane wadau