Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Wooooooooohhhhhh!!! Happy birthday to you mumy, nakumbuka tumepishana siku mbili tuuuuuuuuuu......hahhahah dada!!! .....live long mumy na huu ushindi ni zawadi toshaaaa.
asante my dada..............yani asubuhi nachek matokeo nikajisemea tu happy birthday to me yani kama walijua hivi kushinda ili furaha yangu iwe maradufu.
 
kiukweli kuna tofauti......na najua tutafika tunapotaka ni swala la muda tu.
 
wakuu habari

kwa mara ya kwanza msimu huu tangu uanze nimefurahishwa na morali ya wachezaji kutafuta ushindi

zaidi ya yote, nimefurahishwa na jinsi Mourinho alivyowapongeza wachezaji kwa kuingia ndani ya uwanja baada ya mechi

hicho ni kitu kizuri sana kwani kinawapa wachezaji morali zaid kwa mechi ijayo na kujisikia hali ya kuthaminiwa

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Kweli kabisa kuna mabadiliko yanaonekana, hata ile fear factor inarudi.....
 
Hahahha kabisa malkia wa kandanda, sisi siku hizi we choose kuwa kimya ila mafanikio yetu ndiyo will make asound,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…