Naijua EPL vizuri ndio maana bado nilikuwa na matumaini kuna timu zikishafungwa mechi moja ndio zinapotea kabisa.Hiki ni kipindi ambacho key players wakipata majeruhi timu inaweza kupotea kabisa.Nililisema hilo mlipokua mmechafuana ktk Uzi wenu huu
Chelsea na Utd ndio wako Na fixtures nzuri December hii.
Spurs nimewaona mechi 3, za mwisho, hata waliyo fungwa na chelsea hawakuwa hovyo kama leo. walikuwa very poor, mfano walimu isolate Kane may be kwa kuwa Eriksenna Dele Ali walikuwa wanashindwa kulink mashambulizi kwa intensity yao ya kila siku, na kocha zile sub alipatia moja lakini mbili zika muua, pamoja na kuwa poor if they could pool off minor corrections wengeweza hata kurudisha.Umekuwa negative coz u dont see how United made Spurs look so average.
If we win zoote hizo, then tunaweza kuongelea top four, provided wenzetu wawe wana mechi ngumu zaidi ya mojaFixture yetu ya December sio ngumu tukiitumia vizuri naamini tutamaliza mwaka vizuri
Wed 14 Dec -Crystal Palace V Manchester United
Sat 17 Dec -West Bromwich Albion V Manchester United
Mon 26 Dec -Manchester United V Sunderland
Sat 31 Dec -Manchester United V Middlesbrough
Nipotee kwa sababu ipi,kuna timu zilishatangaza ubingwa naona wanaanza kulaumu makipa wao
Kuna kipindi Mourinho alisema hivyo hivyo mechi rahisi zinakuja afu mkagongwa na Watford. Hakuna mechi rahisi EPLFixture yetu ya December sio ngumu tukiitumia vizuri naamini tutamaliza mwaka vizuri
Wed 14 Dec -Crystal Palace V Manchester United
Sat 17 Dec -West Bromwich Albion V Manchester United
Mon 26 Dec -Manchester United V Sunderland
Sat 31 Dec -Manchester United V Middlesbrough
It's the other way around. Kila mtu alijua tutawagongaHuu mwaka una maajabu sana , kuna matokeo yanatokea ambayo hayakutegemewa
Kama Arsenal kupata sare na Utd nani alitegemea? lol ninatania
Kwahio jumatano tunashinda?
Fixture yetu ya December sio ngumu tukiitumia vizuri naamini tutamaliza mwaka vizuri
Wed 14 Dec -Crystal Palace V Manchester United
Sat 17 Dec -West Bromwich Albion V Manchester United
Mon 26 Dec -Manchester United V Sunderland
Sat 31 Dec -Manchester United V Middlesbrough
Tutumie huu udhaifu kujizatiti kileleni. Nawaombea majanga wote hao at least ikifika february tuwe top 4.Naijua EPL vizuri ndio maana bado nilikuwa na matumaini kuna timu zikishafungwa mechi moja ndio zinapotea kabisa.Hiki ni kipindi ambacho key players wakipata majeruhi timu inaweza kupotea kabisa.
Arsenal-CB wao Mustafi ameumia na atarudi mwakani na next week wana game na Man City
Man City-Aguero na Fernandinho bado wamefungiwa
Liverpool-Coutinho anarudi mwakani,hawajashinda game 2 mfululizo na Mane ataondoka January
Itakua poa sanaaaaHii fixture tamu sana.
Mungu asaidie tupate points 12 hapo.
Farijianeni kwa maneno haya asema bwanaItakua poa sanaaaa
Mkuu mwanajeshi akiwa vitani wazo lake kuu ni kushinda battle hakuna moyo wa kushindwa hapaFarijianeni kwa maneno haya asema bwana
Plan yake na ubaguzi wake ndo kinachomtafuna Gadiola.Na nyie Chelsea zamu yenu itafika mtachezea hadi mtakimbiana humu, ona yanayowatokea City right now.. ni matter of time tu, trust me.........
Jamani hakuna game nyepesi mpaka ushinde tayari tumeisha shuhudia matokeo yasiyo tarajiwa hii ndio EPLGame za United zinazofuata dhidi ya palace na west bromwich away zinaonekana winnable on paper lakini sio game rahisi. Kupata point sita hapo ni mtihani mkubwa
Labda fellaini aanzeGame za United zinazofuata dhidi ya palace na west bromwich away zinaonekana winnable on paper lakini sio game rahisi. Kupata point sita hapo ni mtihani mkubwa