Huwa najiuliza huyu jamaa ni mtu wa Man utd au?
Wapi ulimention premier league au baada ya kubanwa umeamua ujijambie hapatunaongelea premier league manchester united wameshinda one match in September, one match in october, one match in November naona sasa task ya December one match imeisha tusubiri january...na wameimprove wamejump from 6th place to 6th place....
Sijawa negative bhana.
Ukisema Tottenham walikuwa poor, umekuwaje negative!!?
Leo sio alhamisi nadhani unaongelea mechi za Europa ambapo mlipewa vibonde wa Ukraine ZoryaWapi ulimention premier league au baada ya kubanwa umeamua ujijambie hapa
Kwani mi nimekwambia nakujibu, ulicho niuliza!?Nimekuuliza?
DonDonald Mkuu unaonekana mkishinda wiki 3 mfululizo hukuwepo. Umeshakuwa kama kina Mndengereko, Belo mfarisayo ambao wanapotea mkishindwa kushinda mechi kadhaa.
darmian kasaidiwa sana na rojoIla tukubali huyu darmian awe anacheza mechi chache maana leo Sissoko amempeleka mno
Toka anaingia Sissoko nilijua damian ata shindwa sana, kwa sababu sissoko ana ugali mwingi, damian alikuwa hata akitangulia kumblock ana pigwa chini mwenyewe.darmian kasaidiwa sana na rojo
Nipotee kwa sababu ipi,kuna timu zilishatangaza ubingwa naona wanaanza kulaumu makipa waoDonDonald Mkuu unaonekana mkishinda wiki 3 mfululizo hukuwepo. Umeshakuwa kama kina Mndengereko, Belo mfarisayo ambao wanapotea mkishindwa kushinda mechi kadhaa.
Naona timu zinaanza kujichuja kileleni. Wiki hii kuna mechi 2 ambazo zitatoa sura ya ligi itakavyokuwa.
Umekuwa negative coz u dont see how United made Spurs look so average.Sijawa negative bhana.
Ukisema Tottenham walikuwa poor, umekuwaje negative!!?
Kwahio jumatano tunashinda?Leo mvua imenyesha jangwani kila kiumbe kimetoka kusheherekea. Weekend mtarudi mafichoni lol.
Nililisema hilo mlipokua mmechafuana ktk Uzi wenu huuFixture yetu ya December sio ngumu tukiitumia vizuri naamini tutamaliza mwaka vizuri
Wed 14 Dec -Crystal Palace V Manchester United
Sat 17 Dec -West Bromwich Albion V Manchester United
Mon 26 Dec -Manchester United V Sunderland
Sat 31 Dec -Manchester United V Middlesbrough