Manchester United (Red Devils) | Special Thread

At least headlines za magazeti zitampatia mou na utd yake nafasi ya kupumua,its Pep's time to be tailed.

Habari za hao haziuzi,mpaka sasa amna sehemu Pep anaongelewa. Ila sisi tukidroo watu wanatokwa na povu balaa.
 
Special Reminder
*Chelsea 2-0 ~Hull City~*
*Chelsea 3-0 ~Leicester~*
*Chelsea 4-0 ~Manchester U~*
*Chelsea 2-0 ~Southampton~*
*Chelsea 5-0 ~Everton~*
*Chelsea 1-0 ~Middlesbrough~*
*Chelsea 2-1 ~Tottenham~*
*Chelsea 3-1 ~Manchester City~*
*22-2*
Conte to be arrested for Master minding the onslaughter of those teams
Welcome to DRAW FC.
Man Utd 1-1 Stoke.
Liverpool 0-0 Man Utd.
Man Utd 0-0 Burnley.
Man Utd 1-1 Arsenal.
Man Utd 1-1 West Ham.
Everton 1-1 Man Utd.
The way Man Utd are DRAWING are DRAWING
better than HB PENCIL

One win in Sept
One win in October
One win in November.
 
Ntuzu acha uchokozi njoo kwetu tupange timu itakoyo ivaa west b Albinho
 
Ntuzu acha uchokozi njoo kwetu tupange timu itakoyo ivaa west b Albinho
Kule kwetu changes zinaweza kuwapo kwa Luiz na Matic akaanza Faby na kwa Pedro akaanza Willian. Hizo ndio sehemu zinaweza kua na mabadiliko. Lkn sehemu zingine zitabaki hivo hivo km zamani

Hawa jamaa watani zangu lazima niwachokoze.
 
Na nyie Chelsea zamu yenu itafika mtachezea hadi mtakimbiana humu, ona yanayowatokea City right now.. ni matter of time tu, trust me.........
 
Man United's XI vs. Spurs: De Gea; Valencia, Jones, Rojo, Darmian; Carrick, Herrera; Mkhitaryan, Pogba, Martial; Ibrahimovic.

subs vs Tottenham: Romero, Bailly, Blind, Fellaini, Mata, Rashford, Rooney

Mkuu kwema huku?
 
Kawaida ya Old Trafford huwa kunakua kwema kila siku.

Hongereni kwa kuwaziba midomo wajukuu wa mr bean

Najua mkuu, hapo si mnapaitaga machinjioni.

Asante sana, japo wamenitesa sana kama Boro. Wanakaa 10 nyuma ya mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…