Yeah kweli,kipindi cha pili mou alitakiwa kufanya sub mapema!tayari kati palianza kuelemewa kutokana na mipira yote ikifika kwa pogba au zlatan inapotea,carrick na herrera wakawa wameanza kuzidiwa,mata alitakiwa mapema akaongeze nguvu!Sub za Leo sijazielewa kabisa....... yaani Mimi hasa kipindi cha pili kimeniumiza sana tukawaacha Everton watuchezeshe wanavyotaka,kukawa no connection Ni kutibua tibua tu mpira ,mpira haushuki zaidi ni kujilinda tu,kabla ya sub angalau Hata kaukuta kalikuwa kanaeleweka after sub tukawapa mwanya zaidi ingawaje na sisi tulishambulia dakika fulani lakini kukawa hakuna connection kabisa.
Leo angetoka hata Pogba aingie Blind/Mata kwa mtazamo wangu leo pogba hakua mchezoniMkuu hizi kauli za kujipanga kwa next mech tusha zisema sana hapa.
Tunapotea, huu utakuwa ni msimu mrefu sana kwetu
MECHI IJAYO:Tujipange mchezo ujao ndio matokeo yetu ya leo haya go go united.
Nimecheka sana....... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Big Fella haitaji mtetezi yeye anapiga shughuli yake uwanjani ni chaguo la kocha wetu The Spesho One BTW tuna allergy na game za w'end ngojeni muone balaa letu kwenye YUROPA tunawakandamiza LORIA FC mpaka wajute.
GGMU.
Pasua ardhi.....dah nina hasira sana leo
Huwa Pogba sio mzuri akicheza namba 10, mech nyingi sana naona huwa hachez vizuri akipewa role ya namba 10. Dah ila inauma sana. GGMULeo angetoka hata Pogba aingie Blind/Mata kwa mtazamo wangu leo pogba hakua mchezoni
Huwezi kumchezesha pogba namba 10, kwa kweli huu ni ujinga na ilisha shindikana, kwa nini asi muingize mata!!? Kwa mfumo wa 4-2-3-1, Pogba angeweza kucheza 10 at least kama tuna tumia 4-3-3 ambapo awe ana cheza na mtu kama Pirlo au Carrick, hivi kweli kocha kama Mourinho hakufikilia jambo kama hili ambalo hata mimi naweza kufikilia!!?Leo angetoka hata Pogba aingie Blind/Mata kwa mtazamo wangu leo pogba hakua mchezoni
Tunakutana na spurs duhTujipange mchezo ujao ndio matokeo yetu ya leo haya go go united.
Mou are days are numbered
Man Utd after 14 games:
David Moyes: 25 points
Louis Van Gaal: 22 points
Jose Mourinho: 21 points
View attachment 442743
Huyo pogba ndio mchawi wetu,kama unaangalia kwa umakini anakosa umakini sana na anapenda sana kucheza mpira ili aonekane sio kucheza kwa nafasi au kitimu zaidiHeri saresare kuliko kupoteza hawa everton wanatukomaliaga sana nakumbuka kuna msimu walitunyima kombe tukiwa kwenye harakati za kubeba kombe tukatoa nao draw ya nne nne.
Bahati bado haijasimama tu kwetu hata ukicheck goli lenyewe ndo vile herera naye anagonga mwamba.
Ila Pogba inabd akaze kuna mipira mingne anapoteza kwa kukosa umakini.
Tujipange kwa next game hope timu itarudi kwenye mstari tuu
Mou mbinu zimemuishia toka alivyofukuzwa Madrid, mkuu Mou anatupeleka shimoni, mtu atakaeweza kutuokoa i think ni Diego Simeon.United have dropped 7 points from goals conceded in the last 10 minutes of PL games this season.
Fellaini hana kosa aliyeumiza akili yake aka muingiza sub ndio mwenye kosa, naye ni Mourinho.
Huwezi uka muacha schwainsteiger na Schneiderlin home wana angalia mechi halafu una mbeba fellaini. Hii siyo bahati mbaya ni kosa la kocha.
Even Moyes was better at this stage he had 22 points kama skosei. Na hata kama nimekosea naamini tuna itafuta namba 7 au 8
Nafikiri Fellain angetolewa bure kwenda kwa ile club ya Brazil iliyopoteza wachezaji kwenye ajari ya ndege, free transferNingekua mshauri wa mourinho,ningemshauri fella asiingie kwenye penalty box yetu,hata kama tunashambuliwa,asubirie mipira inayoyoka nje ya box ndo aicheze. Hii si coincidence kila mara niyeye tu