They 've walk alone.Liverpool have just done a Liverpool,
Fair play
Dua la kukungoja nione na nyinyi mtakavyocheza. Naomba Mungu mkaushwe kama lilivyokaushwa bwawa.
Man Utd XI: De Gea; Valencia, Jones, Rojo, Darmian; Carrick (c), Herrera; Mkhitaryan, Pogba, Martial; Ibrahimovic
subs: Romero, Bailly, Blind, Fellaini,
Mata, Lingard, Rashford
Ndo mlipo tayariHii game ya leo sio ya mchezo na wala sio ya kupanga watoto!
Tukipoteza au tukisuluhu tunashushwa nafasi ya saba.
Doh! Poleni nilijua Tanzania ya Magufuli ni ya neema: umeme wa kumwaga, maji yakutosha n.k.Go go Man u...wale waliopitiwa na gridi ya taifa umeme bado haujarudi tho
Umesikika...Ndo mlipo tayari
Dua la kuku
Nitafurahia sana ushindi Leo, sare zilizopita zimetosha.
Polengoja nione na nyinyi mtakavyocheza. Naomba Mungu mkaushwe kama lilivyokaushwa bwawa.
Aisee mbona unarudisha majina ya watu khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeDua la kuku
Marefa wana kisa na United...Barry alipaswa kuwa yellow carded kwa foul dhidi ya Ibra...kanawa mpira kwa makusudu, kaachwa tena...
BTW, Rojo's two-footed tackle ilikuwa red card bookable offense. Thanks to Oliver's mediocre refeering, Rojo got lucky...