Watu tunajua mpira ukiona kikosi tu Basi unajua nini kinatokea.
Kuna lile litoto li Runshford d d d did linakimbia hilo center backs za gunners zijipange sn Leo counter zitakua nyingi Na Rangi kutoka kwa Matial Na Mata zitakua nyingi sn alafu Pogba Leo yuko free mid hana majukumu ya ukabaji kwasababu kz yote inamalizwa ya ukabaji Na Carrick Na Herrera