Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nafikiri ni wakati wa kufanya substitutions: Martial na Rashford waingie na Ibra na Rooney watoke, ili Swansea wakimbizwe na United iongeze magoli..
 
Hao nao wanazingua wamegoma kuongeza idadi ya magoli...
 
Nafikiri ni wakati wa kufanya substitutions: Martial na Rashford waingie na Ibra na Rooney watoke, ili Swansea wakimbizwe na United iongeze magoli..
Kutoa wakongwe wote kosa lbda atoke mmoja kati yao nilichojifunza ibra na rooney hawatakiwi kukaba sana kuminyana ndio maana wanachoka mmoja wao atakiwa awe goal gotter tu
 
Man u inasumbuliwa na kasumba mbili haters (ukawa) ja mashabiki maandazi ambao week ya wanamponda ibra kuwa hafai lkn leo watamuona ndio mfalme ni bora uwe ukawa kuliko shabiki maandazi in utd we trust ggmu..
Sikiliza wewe Ibra ana 35yrs kumtegemea kama number one striker week in week out ni risky . Ila ana quality yake ambayo siku kama leo umeiona.
 
Huyu mourinho, utadhani ibra ndiye hirizi yake, hamtoi hata kama tumeongoza . anapoteza mipira tu
 
Nafikiri ni wakati wa kufanya substitutions: Martial na Rashford waingie na Ibra na Rooney watoke, ili Swansea wakimbizwe na United iongeze magoli..
Kabisa...Martial akiingia kuna goli, pia ni opportunity to rest Ibra.
 
Ibrahimovich will miss Arsenal game, Pogba in danger as well...
 
Zlatan ataongezewa kwa faulo hii, a boot on the back of the head. Ilitakiwa a RED pale.
 
Nilivyoona line up tu nilijua Mourinho kachukua hatua baada ya matokeo fulani yasiyoridhisha. Hivyo ndio kocha anatakiwa awe.
 
[HASHTAG]#BringOn[/HASHTAG] them Goobers...
 
Attachments

  • IMG_2717.JPG
    50.6 KB · Views: 29
  • IMG_2718.PNG
    187.5 KB · Views: 28
  • IMG_2719.JPG
    168.9 KB · Views: 33
  • IMG_2720.JPG
    95.4 KB · Views: 30
  • IMG_2721.JPG
    146.1 KB · Views: 30
  • IMG_2722.JPG
    117 KB · Views: 26
Kutoa wakongwe wote kosa lbda atoke mmoja kati yao nilichojifunza ibra na rooney hawatakiwi kukaba sana kuminyana ndio maana wanachoka mmoja wao atakiwa awe goal gotter tu
Siku zote huwa na imani na captain wetu hilo kweli ila wazza hupenda kujituma na ana machungu sana tukifungwa hicho kitu ninamkubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…