UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Aongeze wengine sio??Scholes :" mourinho inabidi asajili wachezaj wake ila sio hawa ambao misimu 2 ya nyuma wameonesha hawako tayari kufia klabu la sivyo watamuumiza mno".
Nyie mnamuona hafai malegend ndio kwanza wanampa ushauri...
Achana nao.. Eti sasa hivi WAMERIDHIIKA NA WENGA wao..Scholes :" mourinho inabidi asajili wachezaj wake ila sio hawa ambao misimu 2 ya nyuma wameonesha hawako tayari kufia klabu la sivyo watamuumiza mno".
Nyie mnamuona hafai malegend ndio kwanza wanampa ushauri...
Kimfaacho mtu chaketangu umeujua mpira ushawah kusikia tumecheza vizur europa huko ni kwa kina sevilla tinakamilisha ratiba na ndo mana ktk makocha wa manchester united hakuna kipengele ktk mikataba yao kinachosema ushinde na kushirik ueropa
mourinho kasema wachezaji wangu wamecheza kama mech ya kirafiki hawakuonesha juhud wajua kwa nini hawana mzuka
Namaanisha imebaki story
Kimfaacho mtu chake
wachezaji kama pogba na ibrahimovicAongeze wengine sio??
Achana nao.. Eti sasa hivi WAMERIDHIIKA NA WENGA wao..
Atakua anamtaka christian ronaldowachezaji kama pogba na ibrahimovic
WAAACHE NA UJINGA WAOhalafu jamaa anakuletea mimamo wa lig aseno wa pili ana point 23 hapo wao kwisha kazi wakat ili bingwa apatikane ni zaid ya point 75
Naona GiRUUD SASA HIVI KARUDI KWENYE FORM..wachezaji kama pogba na ibrahimovic
Nayakumbuka maneno ya kloop ambaye alisema kumsajimli mchezaji kwa pesa ya zaidi paund 90 ni ujinga kwasababu unaweza msajili na asiperforme vile utakavyo au akaishia majeruhi tuu ndo ninayaona kwa pogba ...View attachment 429051
View attachment 429052
Paul Pogba went off with an injury in the first half
Majuto mjukuu khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Pogba ana miaka 23.. Bado ana miaka mingi ya soka.. MkuuNayakumbuka maneno ya kloop ambaye alisema kumsajimli mchezaji kwa pesa ya zaidi paund 90 ni ujinga kwasababu unaweza msajili na asiperforme vile utakavyo au akaishia majeruhi tuu ndo ninayaona kwa pogba ...
Huo ndio uungwanaTumechoka kufungwa, mourinho, back to basics, just park the damn bus
Ni kweli ila kwasasa yuko nje anauguza majerahaPogba ana miaka 23.. Bado ana miaka mingi ya soka.. Mkuu
Naelewa mkuu ila ni mapema sana kuuita usajili wa pogba mbovuNi kweli ila kwasasa yuko nje anauguza majeraha
Umri unaenda na wakati wakat wa pogba ndo huu mkuuPogba ana miaka 23.. Bado ana miaka mingi ya soka.. Mkuu
hahaaaaaa...............................ila haijawa hivyo.Umesahau niliwahi kutabili kua uta cut off connection between son n daughter ??