Mfumo wa Man U utawa cost, hawana namna ya kufanya mashambulizi unles wategemee cross, sasa watu kama kina Valencia wanapokosekana kunakuwa tabu tupu..
Naona mbele wawe watu watatu atleast tunaweza tuka attempt
Sisi kwetu misiba ikiongozana tunaamua kufanya sherehe kwiiiii kwiiiii naona wenye nyumba wamerudishwa mapangoni ni dhambi kumlaumu The Spesho Wani maana leo kafanya kila mnaloomba.
Cc:
Herrera
Everlenk
#GGMU-NgumuNyeusi