Team selection na sub zinaendelea kumuangusha Mourinho ,kumtoa Pogba unamuingiza Zlatan while tayari una Rooney,Martial,Rashford uwanjani na benchi una Mata na Mkhitarian
Zimebaki mechi 2 morinyo kibarua kiote nyasi sio kocha ndo maaana chelsea walimtimua anaweza akafanya mambo 2 ili kulinda heshima yake
1.kujiuzulu
Lapili nitarudi baada ya hzo mechi 2