Ibrahimovic ana nikumbusha YAYA SANOGO wa arsenal yani kama anaweza kufanya jambo la maana afu hawezi.....
it is disappointing
Hizi buys za IBRA + MIKHTARYAN ni WASTAGE OF MONEY
mtu atasema Ibra alikuja free ila hiyo pound 200k anayokula na kucheza kama YAYA SANOGO ni utter shambles